Dar es Salaam, TANZANIA info@msumeno.co.tz
Tufuate:
Kuhusu Sisi

Gundua Shule zetu

Msumeno: Neno la Kiswahili ni kifaa/nyenzo ambacho hutumiwa na binadamu(tofauti na shoka) huchana miti kupata mbao zitumikzo kujenga nyumba na kujihifadhi na kuendeleza maisha kwa urahisi,ambapo bila huo angeishi kwa ugumu akisumbuliwa na Jua,mvua,upepo baridi na kadhalika na maisha yaliyokusudiwa kufinyika.

ABCDE, Mwanzilishi

Katika ulimwengu huu unaobadilika kila kukicha, unaoendelea kwa kasi, lengo letu ni kuwatayarisha wanafunzi si kwa ajili ya leo tu, bali kwa siku zijazo - kuwapa ujuzi, maadili na uthabiti ili kufanikiwa katika changamoto yoyote ambayo wanaweza kukabiliana nayo.

Jifunze Zaid
Wasiliana nasi
MSUMENO

Kwanini unatuchagua

Matokeo ya Juu

Alama za juu katika mitihani ya kitaifa.

100% Lengo

85%
Maadili Madhubuti na Nidhamu

Tunazingatia nidhamu na tabia.

100% Lengo

90%
Kujifunza Tayari kwa Baadaye

Elimu inayoendeshwa na teknolojia, iliyo tayari siku za usoni.

100% Lengo

70%
Tunachofanya

Jifunze Zaidi Tunachofanya na Kuhusika

Elimu ya Msingi

DARASA LA I-VII

Elimu ya Sekondari

KIDATO CHA I-IV

Elimu ya Juu ya Sekondari

KIDATO CHA V-VI

Shule za Msumeno